Header ads

Header ads
» » Zanzibar ndiyo ya kwanza kutumia Televisheni zenye rangi Afrika

Tukizungumzia ukuaji na Mapinduzi ya Teknolojia Barani Afrika, hatuwezi kuisahau zanzibar.
Yasemekana kuwa Zanzibar ndio ilikuwa ya kwanza barani Afrika kutumia Televisheni (Luninga) zenye rangi mwaka 1973.Na Tanzania Bara walianza kutumia Televisheni (Luninga) zenye rangi miaka 20 baadaye mwaka 1994.  

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhydcfghavGCB7ufIGp4jvEcbs8apTFSsUQ-4MnsuZHzYYXbz9KQ6eJfdmqZGGPVBfPamKn6B5vtaVi_3WTQlsReldUDW9KdCIRuznj8yhZGQ5dOjRBYWbK6q-8vhsPseKHJ_QL7VrQy4yK/s1600/Nyerere+tenth+anniversary.jpg
Katika sherehe za kutimiza miaka kumi ya Mapinduzi 1974, Mwalimu Nyerere alikuwapo Zanzibar kufungua rasmi Televisheni Zanzibar TVZ ambapo kwa wakati huo ilikuwa ndiyo TV ya kwanza ya rangi Afrika.
Pichani Ni Mkurugenzi wa TVZ Antony Mendis kulia kwa Mwalimu, Kamishna wa Polisi Zanzibar Edington Kissasi (Marehemu), Rais wa Zanzibar Aboud Jumbe Mwinyi nyuma ya Mwalimu, Waziri Kiongozi Ramadhaan Haji Faki aliyevaa baraghashia na Shaaban Mloo (Marehemu) nyuma ya Mendis.


Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post