Header ads

Header ads
» » Nchi wanachama EAC wajipanga kutumia mtandao mmoja wa simu


Jumuiya ya Afrika Mashariki inafanya mazungumzo kuhusu kupanua mtandao wa simu wa pamoja kwa nchi zote wanachama.
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano ya Kenya Bw. Francis Wangusi amesema kwa sasa Uganda, Rwanda na Sudan Kusini zimeungana kwenye mtandao huo, na sasa wanazumgumza na Tanzania na Burundi kujiunga na mtandao huo.

Kama kupanuliwa kwa mtandao huo kukifanikiwa, kutapunguza gharama ya kupiga simu ndani ya kanda hiyo na kutasaidia mchakato wa kuhimiza umoja wa kikanda.
Ameongeza kuwa Tanzania na Burundi ziko tayari kurekebisha sheria zao, ili kujiunga na mtandao huo na kuwanufaisha watu wao.

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post