Header ads

Header ads
» » Video: Volvo kuzindua magari yanayotumia BlueTooth kama Funguo


 Kampuni ya kutengeza magari ya Volvo inatarajiwa kujaribu programu moja ya simu nchini Sweden ambayo kampui hiyo inasema huenda ikachukua mahala pa funguo za magari.  Programu hiyo inayotumia BlueTooth inaweza kudhibiti kufuli za milangoni na kuanzisha ama hata kuzima injini ya gari ,lakini kampuni hiyo imedai kwamba mikakati zaidi ya kiusalama itatumika ndani ya gari hilo.
 The bluetooth digital key allows users to do just about everything a traditional key can do, just from their smartphone.
Kampuni ya kutengeneza magari ya Volvo inatarajiwa kujaribu programu moja ya simu nchini Sweden ambayo kampui hiyo inasema huenda ikachukua mahala pa funguo za magari.  Programu hiyo inayotumia BlueTooth inaweza kudhibiti kufuli za milangoni na kuanzisha ama hata kuzima injini ya gari ,lakini kampuni hiyo imeiambia Daily Mail kwamba mikakati zaidi ya kiusalama itatumika ndani ya gari hilo.

 TAZAMA VIDEO HAPA

  


SOURCE: Daily Mail

>>Lengo langu ni kuakikisha upitwi na Habari za Teknolojia ungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post