Kifaa cha jicho kilichounganishwa kwenye miwani ya kamera, kitawawezesha walemavu wa macho kuona mazingira ya dunia japo kwa kiasi kidogo.
Kwa kuzingatia muundo wa kifaa hicho, vibati 11 vidogo vilivyobobea
vinasio 43 vya elektrodi kwa kila kimoja vinasemekana kuwa na uwezo wa
kuunganisha mawasiliano ya picha hadi kufikia ubongoni.
Vibati hivyo vinaweza kutuma ishara ya picha zenye ubora wa pikseli 500 ubongoni.
Muundo huu na uwezo wa kunasa picha kwa ubora wa kiwango hicho
ukilinganishwa na ubora wa picha wa pikseli milioni 1.5 unaotokana na
kiini cha jicho, unaweza kuashiria mfano wa picha za filamu za vibonzo.
Wakati huo huo, watu wenye ulemavu wa macho wataweza kutambua vitu
mbalimbali kwenye mazingira kwa urahisi kwa kutumia picha hizo chache
zinazonaswa na kifaa cha jicho.
Wanasayansi wametoa maelezo na kusema kwamba kifaa hicho cha jicho
huenda kikatatua tatizo la ulemavu wa macho ikiwa maboresho yatatimia
kwa mafanikio.
Kifaa hicho cha jicho kinatarajiwa kufanyiwa majaribio kwa walemavu wa macho watakaojitolea.
CNN News
>>>Tafadhali Click link zifuhatazo kuhungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM
Home
»
HABARI TECH
» Wanasayansi wa Australia waunda kifaa cha jicho kinachoweza walemavu wa macho kuona
Topics: HABARI TECH
Imehaririwa na;- poatel Africa
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi jana jioni kwenye uwanja wa Mbegani, Bagamoyo Timu ya Yanga SC jana imekamilisha kujifua kwa m...
-
BEST TANZANIAN UNIVERSITIES 2015: Latest Rankings 23 February 2015. A list of best universities has just gotten out and the result i...
-
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Ref. Na EA.7/96/01/H/41 ...
-
Kampuni moja ya Florida, Marekani imekuja na dhana ya kujenga meli ‘Freedom Ship’, itakayokuwa na uwezo wa kuwa na kila kitu ch...
-
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...
-
Bunge la Tanzania kikaoni Serikali ya Tanzania iko hatarini kukosa dola za Marekani milioni mia saba sawa na trilioni 1.1 kwa fedha ...
-
Wanafunzi 7 wa kitivo cha uhandisi wa mashine cha chuo kikuu cha Uludag nchini Uturuki wamefanikiwa kuunda gari la kutumia nishati ya ...
-
Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA imetoa tamko kuhusiana na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za simu nchini kufuatia kuba...
-
UJERUMANI imetinga Fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kuwafumua wenyeji, Brazil mabao 7-1 katika mcheo wa Nusu Fainali uliofanyika...