Header ads

Header ads
» » Kampuni ya Nokia yajiandaa kuunda Smart Watch

 Nokia kuanza kuunda Smart Watch

Kampuni ya Nokia yajiandaa kuingilia soko la saa za kisasa

Kampuni kubwa ya simu ya Nokia kutoka Finland imedhihirisha mpango wake wa kutaka kuanza kuunda saa za kisasa.
Nokia inatarajiwa kuunda saa za Android Wear kuanzia miezi mitatu ya kwanza ya mwaka 2016.
Nokia inaarifiwa kuchukuwa hatua hiyo kutokana na ukosefu wa mafanikio makubwa yaliyotarajiwa kupatikana kwa simu zake za kisasa zilizoundwa kwa mfumo wa Windows Phone.
Maelezo yaliyotolewa na vyanzo vya karibu vya Nokia yanaarifu kwamba kampuni hiyo imepanga kufanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya saa za kisasa.



>>>Tafadhali Click link zifutazo kuhungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post