Header ads

Header ads
» » Mwanajeshi wa Rwanda auwa wenzake wanne Jamuhuri ya Afrika ya kati

Mwanajeshi mmoja katika kikosi cha kulinda usalama cha Umoja wa Mataifa Jamuhuri ya Afrika ya Kati amewafyatulia risasi wanajeshi wenziwe na kuwaua wanajeshi wanne.
Wanajeshi wengine wanane wameripotiwa kujeruhiwa katika tukio hilo jijini Bangui.
Wanajeshi huyo aliuawa baadae baada ya wanajeshi wengine kujihami.
Taafifa hiyo ilitolewa na ofisi ya Umoja wa Mataifa Jumamosi 8 Agosti.
Anthony Fouchard, ripota wa kituo cha televisheni cha France24 alifahamisha kuwa milio ya risasi iliskika majira ya asubuhi.
Joseph Nzabamwita msemaji wa jeshi la Rwanda alifahamisha kuwa uchunguzi umeanzishwa ili kubainisha sababu zilizopelekea shambulio hilo.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post