Muandishi wa habari kutoka Senegal ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela baada ya kushtakiwa kosa la ushoga na ulevi.
Muandishi huyo wa habari ambae alitambulika kwa jina la Tamsir Jupiter Ndiaye alifahamisha kuwa tukio hilo ni mtengo ambao alitegewa baada ya kuamua ugomvi aliokuuta katika kituo kimoja cha mafuta na kumuokoa kijana mmoja na kumpa lifti.
Tamsir alikamatwa mwezi Juni tarehe 24 na kuhukimiwa Julai 21 jijini Dakar.
Tamsir aliwahi kogongo vichwa vya habari mwaka 2012 baada ya kuhukimiwa kwa kosa kama hilo na kumiliki silaha kinyume na sheria ambapo alijipatia msamaha uliotolewa na waziri wa sheria