
Vurugu zimetokea tena Bungeni, Wabunge wa Upinzani wanapinga kusomwa kwa Muswada wa Mafuta na Gesi Asilia
Spika amewaamrisha wabunge wote wa upinzani kutoka nje na kutokuhudhuria vikao kwa siku zote tano zilizobaki.
Sergeant at arms kawatoa.
Waziri wa Nishati anaendelea kusoma Muswada.
- See more at: http://www.kengete.com/2015/07/yanayojiri-bungeni-vurugu-zatawala.html#sthash.XWJNYQ5U.dpuf