Header ads

Header ads
» »Unlabelled » Mmiliki na nahodha wafikishwa mahakamani Baada ya ferry kuzama - Ufilipino


Polisi nchini Ufilipino wamewafungulia mashtaka mmiliki na nahodha wa ferry ambayo ilizama siku ya Alhamis na kuwaua zaidi ya watu 50.
Wahudumu 17 wa ferry hiyo nao wamekamatwa.
Wachunguzi wanaamini kuwa ferry hiyo huenda ilibeba watu wengi kuliko kiwango inachostahili ikiwa pia na mizigo.
Ferry hiyo ilipinduka muda mfupi baada ya kuondoka katika bandari ya Ormoc kati kati mwa ufilipino.
Mmiliki wa ferry hata hivyo amekana madai kuwa ilikuwa na watu wengi kuliko kiwango inachotakiwa.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post