Familia moja uko India wamekubali kumtumia tumbili katika nyumba yao na kuanza kuchukua nafasi ya kumlea mtoto wao mdogo. Mara ya kwanza walikuwa na hofu kuhusu Tumbili huyo, lakini baadaye walishirikiana naye na alimlea binti yao kama 'Mama' na Tumbili huyo anauwezo wa kumlisha mtoto chakula kama binadamu "Nampenda sana tumbili huyo kwani ananisaida katika kazi ndogo ndogo na tunashilikiana naye vizuri tu. Tumbili sasa ni sehemu ya familia zetu. ' Alisema Mwanamke anayemlea tumbili huyo.
KUTANA NA TUMBILI ANAYELEA MTOTO