Kamishna Kova (katikati) akionesha kidole kwa polisi feki aliyekamatwa.
Sura ya ‘karibu’ ya askari huyo feki aliyekamatwa.
Kova akionyesha baadhi ya sare za jeshi la polisi alizokamatwa nazo polisi huyo feki.
Waandishi wa habari waliokuwa katika tukio hilo.
Sura ya ‘karibu’ ya askari huyo feki aliyekamatwa.
Kova akionyesha baadhi ya sare za jeshi la polisi alizokamatwa nazo polisi huyo feki.
Waandishi wa habari waliokuwa katika tukio hilo.
JESHI la
Polisi Kanda ya Dar es Salaam linamshikilia na kumhoji mtu mmoja
anayeitwa Robson Seif Mwakyusa (30) mkazi wa Kijitonyama Jijini Dar, kwa
tuhuma za kujifanya ofisa wa polisi kikosi cha usalama barabarani huku
akifanya ukaguzi wa makosa ya usalama barabarani
Mtuhumiwa
huyu alikamatwa umamosi iliyopita huko Kata ya Chamazi,
Mbagala-Majimatitu Mkoa wa Kipolisi Temeke akiwa amevalia sare za polisi
na cheo cha stesheni sajenti na akiwa na leseni mbalinbali za magari,
‘radio-call’, stakabadhi, na vitu vingine.
Na GPL