Header ads

Header ads
» » JAJI WARIOBA APOKEA MAPENDEKEZO YA WAJUMBE WA BARAZA LA KATIBA TASNIA YA HABARI

 

 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kulia), akizungumza alipokuwa akifungua mkutano wa muhtasari wa majumuisho ya majadiliano na mapendekezo ya mikutano ya Kanda Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari juu ya Rasimu ya Katiba Mpya, Dar es Salaam.
 Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari wakisikiliza wakati Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (hayupo pichani).
 Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari wakisikiliza wakati Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (hayupo pichani).

 Mtangazaji wa ITV Morogoro, Iddah Mushi akichangia maoni
 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kulia), akizungumza alipokuwa akifungua mkutano wa muhtasari wa majumuisho ya majadiliano na mapendekezo ya mikutano ya Kanda Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari juu ya Rasimu ya Katiba Mpya, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kajubi Mukajanga ambaye ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT).
 Jaji Warioba akiondoka
 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari
 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari
 Naibu Katibu Mkuu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Casmir Kiuki akifafanunua jambo wakati wa mkutano huo
 Msanii wa kuchora katuni, Robert Mwampembwa akichangia maoni
 Mkurugenzi Mtendaji wa ABM Radio, Abdallah Majura akichangia maoni kuhusu suala ya habari kuwa la Muungano.

 Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ranfred Masako akichangia maoni wakati wa mkutano huo.
 Mwandishi wa habari mkongwe, Allan Lawa akichangia maoni
Makamu Mwenyekiti wa TASJA, Bakari Kimwanga akichangia maoni
BAHTISMA BLOG CHAGUO LA WATU.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post