Rais Dkt. Jakaya Kikwete.akiongea katika hafla hiyo leo kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salam.
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa akitoa taarifa
yake wakati wa sherehe ya kutunuku hati idhini kwa vyuo vikuu na vyuo
vikuu vishiriki jijini leo ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Rais Jakaya
Kikwete (hayupo pichani)

Baadhi
ya wadau wa elimu walioshiriki katika hafla ya kutunuku hati idhini kwa
vyuo vikuu na vyuo vikuu vishiriki wakiwa katika viwanja vya Ikulu leo
jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete (kulia) akibadilishana na mawazo na Waziri wa Elimu na
Ufundi Dkt, Shukuru Kawambwa wakati wa hafla ya kutunuku hati idhini kwa
vyuo vikuu na vyuo vikuu vishiriki leo jijini Dar es Salam

Picha ya pamoja ya Rais Jakaya Kikwete pamoja na watunukiwa wa hati idhini kwa vyuo vikuu na vyuo vikuu vishiliki.
BAHTISMA BLOG CHAGUO LA WATU.