Ulimwenguni sayansi na technolojia imeendelea kukuwa kwa kasi sana
kupelekea tishio sasa la watu kuanza kufunga ndoa na Marobot kama wake
au waume na kuishi maisha ya kimapenzi
Wakati wasiwasi ukiendele kutanda kuwa
Roboti anaweza kuchukua nafasi ya kimapenzi kwa mwenza wako na akafanya
vizuri zaidi, Maumbile ya marobiti yameendelea kuboreshwa hatakufikia
kuwa na mvuto kama binadamu wa kawaida.
Wataalamu wa tekinolojia wameendela
kueleza kuwa marobot wanaendelea kuboreshwa zaidi na kufanana zaidi na
binadamu ilikuweza kuamsha hisia za kimapenzi.
Dr Kevin Curran, mshirika mkogwe wa
Institute of Electronic napia ni ‘Electrical Engineer’ na ni ‘computer
scientist’ wa chuo kikuu cha Ulster, amezidi sema ujio wa ‘cloud
computing’ unaweza ongeza ubora zaidi wa robot hao kuwa natabia na
mienendo itakayo fanana zaidi na binadamu wa kawaida.
Chanzo: mirror.co.uk
Topics: TEKNOLOJIA UBUNIFU
Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Soma na Hizi
Rwanda yaanzisha huduma za mVisa kurahisisha utumaji pesa kwa njia ya simu.
Uchumi usio wa pesa taslimu wa Rwanda umepigwa jeki ,huku Benki ya KCB Rwanda ikijiandaa kuanzi...Read more »
22Jan2017Michael Owen amewekeza kwenye Website ya Michezo
Lengo la TeknoTaarifa ni kukuletea Taarifa murua za Teknolojia kutoka sehemu mbalimbali, Huwezi k...Read more »
17Jan2017Tarajia kushuhudia Teknolojia ya akili za bandia (AI) ikichukua nafasi.
Tarajia kushuhudia akili za bandia zikichukua nafasi kubwa zaidi pindi kasi ya intaneti ya 5G it...Read more »
15Jan2017Teknolojia ya Drone yatumika Kupima ramani Mpya ya Jiji la Dar
Mamlaka ya mji wa Dar es Salaam, imeanza kutumia vifaa vya elektroniki vinavyopazwa angani, ku...Read more »
14Jan2017Ufaransa yaunda Meli ya kwanza inayotumia nishati ya jua
Kwa mara ya kwanza meli inayotumia nishati inayoweza kutumika kwa mara nyingi yatengenezwa na ku...Read more »
13Jan2017kupiga picha kwa Pozi ili kunaweza pelekea kuibiwa data zako Mtandaoni
Utafiti mpya wa Taasisi ya Taaluma za Teknolojia ya Japan (NII) unazua mashaka juu ya pozi...Read more »
11Jan2017

Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Computer ina uwezo wa kufanya mambo ambayo binadamu...
-
Si wengi wetu wanaofahamu umuhimu wa kula samaki mara...
-
Mambo vipi Rafiki yangu? Kama wewe ni miongoni mwa...
-
Nabii Samwel Mahela wa Kanisa la...
-
The American Idol judge wore this eye popping red dress...
-
Kwa wale Rafiki zangu wa ma-gadgets and all...
-
Mambo vipi Rafiki zangu wasomaji wa Website hii, Siku...
Data Boosta
