
Mtandao wa Whatsapp unaomilikiwa na Facebook watangaza maboresho ya kuweza kutumia 'Bold' na 'Italics'katika maandishi.
Kwa
mujibu wa maelezo yaliyotolewa ni kuwa maboresho ya maandiko ya
Whatsapp yanaweza kupatikana katika 'Whatsapp version 2.12.535.'
Mnamo tarehe 19 mwezi Februari mwaka 2014 Whatsapp ilinunuliwa na Facebook kwa dola bilioni 19.3.
Mwezi
Februari mwaka 2016 mtandao huo wa kijamii ulitangazwa kuwa mtandao
bora zaidi wa kutoa huduma ya kutuma ujumbe baada ya kuwa na takriban
watumiaji bilioni moja.
Home
»
MITANDAO YA KIJAMII
» Maboresho:: Watumizi wa Whatsapp kutumia Italiki na 'Bold' katika maandishi
Topics: MITANDAO YA KIJAMII
Imehaririwa na;- Unknown
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
KAMATI ya Taifa ya Matumizi Salama ya Bioteknolojia (NBC) imeridhishwa na matumizi ya Teknolojia ya Uhandisi Jeni (GMO) yenye len...
-
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri huyo amba...
-
Huu ndo ujio mpya Rehema Chalamila aka Ray C baada ya ukimya wa muda mrefu kwenye muziki amerudi rasmi na hii singl...
-
Kampuni moja ya Florida, Marekani imekuja na dhana ya kujenga meli ‘Freedom Ship’, itakayokuwa na uwezo wa kuwa na kila kitu ch...
-
Makala hii inakupa maelekezo ya mambo adimu katika kusimamia barua pepe zako, ili kuboresha ufanisi na- kufurahia kuwa na akaunti ya ema...
-
Kuna taarifa kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia leo. Inadaiwa ...
-
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura alisema kuwa vijana watatu waliotoka Geita kuja jijini Dar es Salaa...
Data Boosta