S
|
aa zinazo wapa fursa wanafunzi
kudanganya au kuibia kwenye mitihani zimewekwa hadharani
na kuuzwa na kampuni ya Amazon. Saa hizo
zitakuwa na ukubwa 4GB ya kuhifadhi
Material, Pia saa hizo zinatarajiwa kuhuzwa kwa gharama ya £ 44.95.
Saa hizo ziliyoundwa kwa ajili ya
udanganyifu katika mitihani na zilizowekwa program Maharum. Program hiyo
inawawezesha kuweka Material, maelezo na kuhifadhi maandishi na picha zitakazo kusaidia kujibu mtihani moja kwa
moja kwa kutumia saa yako ya mkono tu,. Pia zinakuwezesha kutafuta Maandishi
uliyohifadhi
kwa kutumia screen ya saa unaweza
kufanya kila kitu na mambo yakawa sawa sawiya.
Joe Sidders, naibu mkuu katika shule
ya Monkton Combe, alisema, “I expect the hidden market for these sorts of
devices is significant, and this offering on Amazon is just the tip of the
iceberg,” alisema.
Mr Sidders pia alisema ni kukosekana
kwa uwajibikaji wa kuuza vifaa visivyo faa na kutoa wito kwa bodi ya mtihani
kuchukua hatua kwa wale waliohusika katika maamuzi hao.
Msemaji wa Amazon
alisema kampuni haipo tayari kutoa maoni juu ya uuzaji wa saa hizo za ku cheat.
MHARIRI: AbdallahMagana.com
>>Lengo langu ni kuakikisha upitwi na Habari za Teknolojia ungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM