Vijiji katika mikoa ya Mehsana na Banaskantha vyatoa uamuzi wa kupiga marufuku wanawake
wadogo kumiliki simu za mikononi kwa madai ya kuwa zinatatiza masomo yao.
Vijiji katika jimbo la mashariki la Bihar miaka michache pia ilipiga marufuku utumiaji wa simu kwa madai kuwa inashusha hadhi ya jamii.
“Young girls get misguided. It can break families and ruin relationships,” hayo yalisema na Raikarnji Thakor Kiongozi mkoa wa Mehsana
Pia kiongozi wa kijiji cha Suraj’s sarpanch bwana Devshi Vankar, aliongeza na kusema, Nanukuu “Why do girls need cell phones? Internet is a waste of time and money for a middle-class community like us,” .pia “Girls should utilise their time for study and other works.”
India ni nchi ya pili duniani inayoongoza katika soko la simu za mikononi na ina watumiaji zaidi ya bilioni moja wa simu
CHANZO: telegraph.co.uk
MHARIRI: Abdallah Magana.