Kampuni ya kutengeza magari ya Volvo inatarajiwa kujaribu programu moja ya simu nchini Sweden ambayo kampui hiyo inasema huenda ikachukua mahala pa funguo za magari. Programu hiyo inayotumia BlueTooth inaweza kudhibiti kufuli za milangoni na kuanzisha ama hata kuzima injini ya gari ,lakini kampuni hiyo imedai kwamba mikakati zaidi ya kiusalama itatumika ndani ya gari hilo.
Kampuni ya kutengeneza magari ya Volvo inatarajiwa kujaribu programu moja ya simu nchini Sweden ambayo kampui hiyo inasema huenda ikachukua mahala pa funguo za magari. Programu hiyo inayotumia BlueTooth inaweza kudhibiti kufuli za milangoni na kuanzisha ama hata kuzima injini ya gari ,lakini kampuni hiyo imeiambia Daily Mail kwamba mikakati zaidi ya kiusalama itatumika ndani ya gari hilo.
TAZAMA VIDEO HAPA
SOURCE: Daily Mail
>>Lengo langu ni kuakikisha upitwi na Habari za Teknolojia ungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM