Ili kutatua tatizo hilo, kampuni ya Apple imependekeza matumizi ya pochi maalum aina ya Smart Battery Case zenye uwezo wa kufanya betri kudumu kwa muda mrefu zaidi.
Pochi hizo maalum za Smart Battery Case zimeundwa kwa kutumia vifaa vyenye kemikali ya silicon.
Ingawaje Apple haikuzungumzia uwezo kamili wa nguvu zinazoweza kuongezwa kwenye betri , pochi hizo zinaarifiwa kuwawezesha watumiaji kufanya mazungumzo ya simu kwa muda wa masaa 24 zaidi.
Pochi hizo zitakazouzwa kwa bei ya dola 99, pia zitawawezesha watumiaji kutumia internet kwa muda wa masaa 18 zaidi.
>>>Tafadhali Click link zifutazo kuhungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTGRAM