Hii itakuwa rahisi, hivi mara ngapi umeshawahi kwenda sehemu ukakutana na maandishi ambayo umeshindwa kuyaelewa?
Teknolojia imekuwa msaada kwenye mengi
mtu wangu, pata picha unasafiri kwa mara ya kwanza kwenda China,
unaingia mgahawani, unapewa menu imeandikwa kichina, unaanzia wapi
kwanza?
Google wanatusogeza hapa, google translate app
itakusaidia kama unayumia smartphone yako unaweka app hiyo halafu
unaanza kuitumia, mfano unakutana na bango lenye maandishi unafungua
app, unaionyesha camera ya simu kwenye maandishi hayo unapiga picha,
kwenye kioo cha simu inakuonyesha maana ya neno hilo!
Mbali na hivyo app hiyo inaweza
kukutafsiria kwa sauti hata kile ambacho mtu anakiongea, yenyewe inakupa
tafsiri kwa lugha unayotaka.
Ni rahisi tu, hauhitaji kuwa na internet
ili uitumie, ni app ambayo inafanya kazi hata kama huna bundle mtu
wangu, inapatikana bure kwa wanaotumia android na iPhone piaTopics: PROGRAMU
Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Soma na Hizi
Programu ya simu inayohamasisha amani Sudan Kusini yaundwa
Nchini Sudan Kusini mara kwa mara imetambulishwa kwa kuwa eneo la vita ,mauaji na ghasia,sasa m...Read more »
29Jan2017Twende APP teknolojia iliyokuja kurahisisha huduma ya usafiri
WATUMIAJI wa usafiri wa bajaji, bodaboda pamoja na teksi wametakiwa kutumia huduma mbadala na s...Read more »
18Jan2017MakiniApp:#APP ya kuzuia ajali zisababishwazo na mwendokasi Barabarani
Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na kampuni ya Makini Road Safety Foundation imeturah...Read more »
08Sep2016Nipime App: Maktaba inayowawezesha wanafunzi kusoma kwa njia ya Simu
Nipime app ni application ya simu iliyobuniwa na wanafunzi vijana wa Tanzania ikiwa na lengo la u...Read more »
08Aug2016Tanzania kutumia Programu ya simu ya kupima rutuba ya udongo
Kampuni ya biashara iliyo na makao yake nchini Kenya ya 'Capture Solutions' wiki iliyopita ilita...Read more »
18Jul2016Wanafunzi Sita wa Makerere waunda programu (APP) ya vyakula asilia
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere wapata mafanikio ya kuweza kuunda programu mpya ya vyakula v...Read more »
03Jun2016

Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Mambo vipi Rafiki yangu? Kama wewe ni miongoni mwa...
-
Computer ina uwezo wa kufanya mambo ambayo binadamu...
-
Coca-Cola Kwanza Limited of Dar es Salaam, is part...
-
Si wengi wetu wanaofahamu umuhimu wa kula samaki mara...
-
The American Idol judge wore this eye popping red dress...
-
Kwa wale Rafiki zangu wa ma-gadgets and all...
-
Mambo vipi Rafiki zangu wasomaji wa Website hii, Siku...
Data Boosta
