Mabaki ya mskiti wa kale nchini Ujerumani yagunduliwa na timu ya wanaarkeolojia katika umbali wa kilomita 60 na jiji la Berlin nchini Ujerumani.
Taarifa hiyo imetolewa na chuo kikuu cha Berlin nchini Ujerumani.
vyuma vya minara na vioo vya madirisha na milango vy a mskiti huo vimepatikana katika kazi ilioendeshwa na wana arkeolojia waliokuwa wakiongozwa na Profesa Reinhard Bernbeck na Susan Pollok.
Profesa Bernbeck alifahamisha kuwa kzai yao ilirahisishwa na ramani iliochorwa mwaka 1916.
Mskiti huo ulibomolewa bain aya mwaka 1923 na mwaka 1926.