Muazini huyo alikamatwa mjini Kafr al-Dawar Kaskazini mwa Misri baada ya kuskika katika vipaza sauti vya mskiti wa Rahmat akisema akisema "assalatu hayrun minal Facebook" badala ya ‘’assaletü hayrun minennaw" kama ilivyo katika utamaduni wa kiislam katika azana au wito wa sala ya asubuhi.
Assalatu hayrun minannaw inamaana kwa kiarabu sala ni bora kuliko usingizi, muazini huyo akabadilisha kausema kuwa sala ni bora kuliko Facebook.
Assalatu hayrun minannaw inamaana kwa kiarabu sala ni bora kuliko usingizi, muazini huyo akabadilisha kausema kuwa sala ni bora kuliko Facebook.