Kulingana na tovuti ya richestlifestyle.com, kuna marais kutoka mataifa matano ya Afrika, lakini kwenye orodha hiyo hakuna marais waliowekwa kutoka nchi zilizo kwenye mstali wa umasikini.
4) Pranab Mukherjee.
Huyu ni Rais wa India, ameongoza nchi hiyo tangu mwaka 2012.
Kwa mwaka anapokea mshahara wa dola 28, 800 za kimarekani ($28,800).
3) Xi Jinping.Ni Rais wa Uchina . Kwa mwaka hupokea dola za kimarekani ($22,300).
2) Beji Caid Essebsi ni Rais wa Tunizia ametawala nchi hiyo tangu mwaka 2014.
Kwa mwaka hupokea dola 16, 400 za kimarekani ($16,400).
1) Macky Sall. Ni rais wa Senegali tangu mwaka 2012. Kila mwaka hupokea dola 15, 600 za kimarekani ($15,600) kila mwaka.