Curtis James Jackson III jina halisi na msanii wa Hip Hop mwenye asili ya Afrika alizaliwa Julai 6 mwaka 1975 New York ambapo mamake Sabrina Jackson alikuwa na umri wa miaka 15.
Sabrina Jackson alifariki mwaka 1988 baada ya kupewa sumu katika kinywaji chake na mtu ambae hakutambulika.
50 Cent alifahamisha katika ukurasa wake wa Instagram kuwa atataharisha hafla kabambe licha ya kutangaza kuanguka kiuchumi siku zilizopita.
Mali za mwana hip hop huyo zinakadiriwa kuwa milioni 155 sarafu za Marekani.
50 Cent alijipatia umaarufu alipotoa wimbo wake unaokwenda kwa jina la "Candy Shop" na albamu yake ya "Get Rich or Die Tryin'’ yenye maana kutajirika au kufa umejaribu.