Kampuni kubwa mtandao wa jamii wa Facebook imetangaza kuweka rekodi mpya kwa kuunganisha watumiaji bilioni 1 ndani ya siku moja.
Mkurugenzi mkuu wa Facebook Mark Zuckerberg, alidhihirisha mafanikio hayo kwa kupitia ujumbe alioandika siku ya Jumatatu tarehe 24 mwezi Agosti.
Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, idadi ya watumiaji wa Facebook tangu tarehe 30 mwezi Juni imeonekana kuwa milioni 968 kwa siku ikiwa ni pamoja na watumiaji milioni 844 wa simu.