Android sasa itaweza kutoa huduma ya gemu za PlayStation 2 katika vifaa vya elektroniki vinavyotumia mfumo huo kama vile simu na tablet.
Android pia inaarifiwa kuendelezwa kufanyiwa maboresho ili kuweza kuendesha gemu nyingi zaidi katika vifaa vyake.
Kwa sasa, gemu zinazoweza kupatikana kwenye vifaa vya Android bila malipo ni kama vile Final Fantasy X, Capcom Vs SNK 2, Dragon Quest VIII, Dynasty Warriors 2, Gradius V, Kingdom Hearts, na Space Harrier.