Header ads

Header ads
» » TETESI, SIMBA Yamuuza OKWI Barani Ulaya katika kikosi cha Sonderjyske


» » » KUMEKUCHA, SIMBA YAMUUZA OKWI BARANI ULAYA, ANAKWENDA DENMARK

Okwi anakwenda kucheza soka katika kikosi cha
Sonderjyske inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza.

Rais huyo wa Uganda anatarajia kuondoka nchini wiki ijayo kwenda Denmark kuanza kazi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema kila kitu kimekamilika kuhusiana na Okwi.
“Kweli Okwi anakwenda Denmark, hii ilikuwa ni sehemu ya makubaliano kati yetu na yeye.

“Kwamba kama atapata timu nje, basi tumuachie aende.
“Wale jamaa pia wakatoa ofa nzuri, hivyo hatukuwa na ujanja zaidi ya kumuachia aende zake,” alisema Hans Poppe, hata hivyo alikataa kuweka wazi kiasi cha fedha ambacho wamemuuza.


“Hiyo inabaki kuwa siri ya Simba, maana tukitaja basi hesabu zinakuwa nyingi sana.”

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post