Header ads

Header ads
» » Zaidi ya wahamiaji 5,000 wa Syria waingia Uturuki

 Zaidi ya wahamiaji 5,000 wa Syria waingia Uturuki

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na afisa wa serikali ya Uturuki, katika mji wa Tal Abyad, alifahamisha kuwa zaidi ya wahamiaji 5,000 kutoka Syria waliingia Uturuki kupitia mpaka wa Akcakale.
Raia hao wanakimbia mapigano makali yanayoripotiwa kuwa baina ya vikosi vya kikurdi na vile vya wanamgambo wa Daesh.
Waziri mkuu wa (FAD) alifahamisha kuwa takriban wanawake 1,413 na watoto 2,287 wamepokelewa nchini Uturuki.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post