Header ads

Header ads
» » Wakenya wajiandaa kumpokea Papa Francis ifikapo mwenzi Novemba

Wakenya wajiandaa kumpokea Papa Francis

Serikali ya Kenya imetaarifu kuwa kiongozi mkuu wa kanisa la Roman Catholic Papa Francis,
atafanya ziara yake katika nchi za Afrika Mashariki kama safari yake ya kwanza kwa nchi za Afrika mwezi Novemba.
Msemaji mkuu wa rais Manoah Esipisu,amesema kuwa “ninafuraha kubwa kuona rais amemuandikia mtakatifu Papa Francis kuwa amekuwa na furaha kusikia kuwa atafanya ziara yake nchini Kenya.”
Esipisu, aliendelea kusema kuwa “Ni utukufu mkubwa sana kujua kuwa Papa Francis kuchagua Kenya kuwa kituo cha kwanza kutembelea katika ziara yake ya Afrika.”
Esipisu aliongeza kusema ,"Ziara hii ya Papa Francis ni muhimu sana kwa Kenya," "itakuza ushirikiano wa kitaifa, mazungumzo na mshikamano wa amani."
Kwa mujibu wa taarifa kutoka İkulu, Papa pia atafanye ziara yake katika nchi ya Uganda na nchi za Afrika ya kati.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post