
Huu ni mfano wa jezi ambazo zilikuwa zikishindanishwa ili kupata jezi mpya za timu ya taifa ya TanzaniaShirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, linatarajia kuzindua jezi mpya za timu za Taifa Tanzania, zitakazokuwa zikitumika katika michuano mbalimbali, uzinduzi huo utakafanyika katika hoteli ya JB Belmonte (PSPF) iliyopo eneo la Posta jijini Dar es salaam.Katika hafla hiyo, TFF itawatunukia vyeti viongozi mbalimbali waliotoa mchango katika mpira wa miguu, wadhamini, wahamashisashaji pamoja na wachezaji waliochezea Taifa Stars ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 tangu Tanzania kujiunga na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA).WATUNUKIWA WA VYETI VYA KUMBUKUMBU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50, TANZANIA KUJIUNGA NA FIFA.VIONGOZI WA KITAIFA:1. Rais Msataafu Mwl. Julius K Nyerere2. Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi3. Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa4. Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete5. Rais Mstaafu Abeid Amani Karume6. Rais Mstaafu Amani Abeid Karume7.Rais Mstaafu Abdul Wakili8. Rais Mstaafu Abdu Jumbe9. Rais Dk. Salmin Amour10. Rais Dk. Mohamed SheinWENYEVITI/MARAIS FAT/TFF11.Balozi Maggid12. Mzee Ali Chambuso13. Said Hamad El Maamry14. Alhaj Muhidin Ahmad Ndolanga15. Leodgar Chilla TengaMAKATIBU WAKUU16. Said Hassan17. Abdallah Mpolaki18. Kitwana Ibrahim19. Martin Maude20. Meshack Maganga21. Col. Yunus Abdallah22. Patrick Songora23. Ali Mwanakatwe24. Ismail Aden Rage25. Angetile Osiah26. Michael Wambura27. Fredrick MwakalebelaMAKOCHA28. Mansour Magram29. Paul West Gwivaha30. Joel Nkaya Bendera31. Don Korosso32. Mohamed Msomali33. Shaban Marijani34. Hamis Kilomoni35. Syllersaid MzirayWAAMUZI36. Gratian Matovu37. Kassim Chona38. Zuberi Bundala39. Mohamed Nyama40. Mussa Lyaunga41. Ramadhani Mwinyikonda42. Ramadhani Kaabuka43. Joseph Mapunda44. Dunstan Daffa45. Said Almasi46. Abdul Rasul IsmailWACHEZAJI47. Mohamed Chuma48. Kitwana Manara49. Miraji Juma50. Dracula51. Mathias Kissa52. Hamis Fikirini53. Emily Kondo54. Abdulrahman Lukongo55. Hemedi Seif56. Abdul Aziz57. Mbwana Abushir58. Sembwana59. Mweri Simba60. Omar Zimbwe61. Arthur Mwambeta62. Ayoub Mohamed63. John Lyimo64. Mohamed MwabudaTIMU YA TAIFA 1979-1980 ILIYOENDA NIGERIA65. Leodgar Tenga (Nahodha)66. Athuman Mambosasa67. Idd Pazi68. Juma Pondamali69. Leopold Mukebezi70. Ahmed Amasha71. Ramadhani Nyamwela72. Mohamed Kajole73. Salim Amir74. Jella Mtegwa75. Mtemi Ramadhani76. Adolf Rishard77. Hussein Ngulungu78. Juma Mkambi79. Omari Hussein80. Thuweni Ally81. Mohamed Salim82. Peter Tino83. Rashid Chama84. Slomir Wolk (Kocha Mkuu)85. Joel Bendera (Kocha Msaidizi)86. Dk. Katala (Daktari wa timu)87. Mzee Mwinyi (Meneja)88. Willy Kiango89. Daud Salum90. Stanford Nkondora (Mkuu wa Msafara)MAWAZIRI WA MICHEZO91. Mrisho Sarakikya92. Chadiel Mgonja93. Fatma Said Ally94. Prof. Phillemon Sarungi95. Prof. Juma Kapuya96. Mohamed Seif Khatib97. Dk. Emmanue NchimbiVIONGOZI WA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA (BMT)98. Said Hamad El Maamry99. Balozi Maggid100. Moses Mnauye101. Makame RashidMAKATIBU BMT102. Salum Dossi103. Mohamed Lutta104. Ernest Mlinda105. Leonard ThadeoWAKURUGENZI WA MICHEZO SERIKALINI106. Khalifa Abdallah107. Chabanga Hassan Dyamwale108. Joas Nkongo109. Flavian Kipanga110. Henry Ramadhani111. Leonard Thadeo112. Jenerali UlimwenguWADHAMINI113. TBL114. VODACOM115. SERENGETI BREWERIES116. NMB117. AZAM118. BAHATI NASIBU YA TAIFA119. AIRTEL120. BANK ABC121. COCA COLA122. NSSF123. AZAM MEDIA124. BARRICK GOLD MINE125. AIR TANZANIA126. TANZANIA RAILWAY CORPORATION127. SYMBION128. TANZANIA TOBACCO BOARD129. TANZANIA COFFEE BOARD130. TANZANIA SISAL BOARD131. TANZANIA HARBOU AUTHORITY132. BIMA133. UHAMIAJI134. BORA135. URAFIKI136. TACOSHILLWATANGAZAJI WA MPIRA137. Omar Masoud Jarawa138. Salim Seif Mkamba139. Ahmed Jongo140. Nadhir Mayoka141. Halima Mchuka142. Idd Rashid Mchatta143. Charles Hilary144. Dominic Chilambo145. Tido Mhando146. Abdul Ngalawa147. Mikidad Mohamoud148. Abdallah MajuraWAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO149. Tommy Shitole150. Willie Chiwango151. Steven Rweikiza152. Muhidin Issa Michuzi153. John Ngahyoma154. Mwalimu Omar155. James NhendeWAHAMASISHAJI WA TIMU YA TAIFA156. JKT Mafinga Kimulimuli157. Mbaraka MwinsheheMABINGWA WA LIGI158. Cosmopolitan159. Simba Sports Club160. Young Africans Sports Club161. Mseto162. Pan African163. Tukuyu Stars164. Coastal Union165. Mtibwa Sugar Football Club166. Azam Football ClubWAWAKILISHI WA MUUNGANO167. Malindi FC168. Tanzania Stars169. Pamba FC170. Reli Morogoro171. African Sports172. Tanzania Prisons173. Simba Sports Club174. Young Africans Sports ClubVIONGOZI WA VILABU175. Shaban Mwakayungwa176. Tabu Mangara177. Kondo Kipwata178. Jabir Katundu179. Amiri Ali Bamchawi180. Juma Salud181. David Ngonya182. Priva Mtema183. Mama Fatma Karume184. Ramnik Patel Kaka185. Aboubakar Mgumia186. Kitwana Kondo187. Kitwana Athuman188. Abdulwahab Abbas Maziwa 189. Ally Sykes (Kleist Sykes)VIONGOZI WALIOJENGA VIWANJA190. Richard Wambura191. Lawrence Gama192. Abdulnur Suleiman193. Sheikh Amri Abeid194. Mohamed KissokyU13 KUTIMUA VUMBI MWANZA JUNI 7Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Julai 7 mwaka huu litafungua mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 13 jijini Mwanza kwa mikoa yote ya Tanzania kwa lengo la kung’amua vipaji kwa ajili ya kuunda timu ya Taifa ya vijana wenye umri huo.Mashindano hayo yatakayofanyika kwa kipindi cha wiki moja, yatafanyika katika viwanja vya CCM Kirumba na Alliance vyote vilivyopo jijini Mwanza, na maandalizi ya michuano hiyo yamekamilika na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa mkoa Mwanza.Jopo la makocha litakua katika viwanja hivyo kusaka vipaji kwa lengo la kuanza kuiandaa timu ya Taifa ya vijana wenye umri wa miaka 13, ili ifikapo mwaka 2019 waweze kuiwakilisha Tanzania katika fainali za Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 zitakazofanyika hapa nchini.Mapema wiki iliyopita Shirikisho la Soka barani Afrika - CAF liliipa Tanzania uenyeji wa michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 zitakazofanyika mwaka 2019.TFF katika kuhakikisha inafanya vizuri katika soka la vijana, mapema mwezi Aprili iliendesha kozi ya waamuzi vijana jijiji Dar es salaam, ambapo vijana 36 walishiriki kozi hiyo na kutunukiwa vyeti.Aidha TFF ina programu ya vijana chini ya miaka 15 ambayo ilianza kambi mwezi Aprili mwaka huu, na inatarajiwa kucheza michezo ya kirafiki katika mikoa saba nchini kati ya mwezi Juni na Agosti, kabla ya mwezi Disemba kusafiri katika nchi Malawi, Zambia, Zimbabwe, Bostwana na Afrika Kusini.Kikosi hicho cha umri chini ya miaka 15 kinajiandaa na kuwania kufuzu kwa fainali za Vijana Afrika mwaka 2017 ambapo katika ziara hizo za mikoani, walimu watatumia nafasi hiyo kungamua na kuongeza vijana wengine katika kikosi.IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)