Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya
Wanyamapori – Pasiansi, Mwanza anawatangazia wafuatao ambao
waliomba kujiunga na Kozi ya
Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (Basic Technician Certificate in Wildlife Management and Law
Enforcement – BTCWLE)

Enforcement – BTCWLE) kuwa wanatakiwa kuhudhuria usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 22 Juni hadi 25 Juni, 2015:
BOFYA HAPO CHINI KU-DOWNLOAD FORM YA MAJINA
TANGAZO_LA_USAILI-JUNI_2015