Diamond plutnamz akitembelea media (radio & tv station) zilizopo nchini afrika kusini akiendelea kuutangaza mziki wake
Diamond plutnumz akisindikizwa na mwenyeji wake Donaldndaniel kama mnavyomwona kwenye picha ...
Lakini pia kuna ngoma /mziki mwingine unatengenezwa ndani ya #Universal_Studio ni kolabo kati ya east na south (Donald & diamond)
Diamond akiwa south Africa amtembelea vituo kama #Trace_tv #KayaFm #MetroFM #Yfm na vingine vingi
Asante kwa kuwa pamoja kwenye blog yetu ...kwa habari nyingi na nyingine usisahau kupitia humu kila siku