Header ads

Header ads
» » Navio kuachia ngoma pamoja na Mr Blue

Mkali kutoka UG ,Uganda Navio ambae kashafanya kazi na weusi ,gere remix na pia kashafanya kazi na Izzo Bizness toka Tzee

Baada ya wakali hao kufanya Yao na Navio sasa ni zamu ya mkali mwingine kutoka Tanzania Mr Blue ambae tayari washafanya ngoma ya pamoja na Navio imebaki kuachiwa kwa ngoma hiyo tuu

Mr Blue alituandikia hivi kwenye twitter " ule mwiba mliokua mkiusubiria uko njiani tayari....kijana wenu kufanya kitu na huyu kijana wa uganda.... @naviomusic...tayari mda si mwingi mtaipata....#acheni uwoga wa kupitwa ##"

Navio nae akasema "The audio for #AYAYA drops in few days. Nav X @mrbluebyser1988 produced by @banostylez .The turn up just got real!!! #AYAYA.

Kwa habari nyingi nyingine Fanya kubaki hapa hapa ,pia mshirikishe na rafiki yako pakupata habari ni hapa
........Ahsante......

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Kendrick lamar awasifu lil B & lil wayne
»
Previous
Lil Wayne akiri drake & nick minaj wataicha young money