Kwa kawaida imekuwa ni vigumu sana kwa rapper kutokea kukubali kazi za rapper mwingine na kuzungumza kwenye jumuiya ya watu
Kendrick Lamar kwake haijawa ngumu baada ya kutamka hadharani kuwa anawakubali sana lil B % lil Wayne kwa sababu ni rappers ambao wamfanya mtu ajiskie kuwa kama wao
Kuanzi jinsi wanavyorap lakini pia na swagga wanazotoka nazo kwenye video zao ,na ni watu ambao pia amewafwatilia sana mpaka anatoka kwenye rapp
Kwa habari nyingi nyingine endelea kubaki humu humu pia mshirikishe na mwenzako hii ndio sehemu nzuri ya kuhabarika
.......Ahsante........