Wiki iliyopita mkali lil Wayne alikaririwa akisema kuna uwezekano mkubwa sana wa wakali wawili kutoka young money Nick minaj & Dreake kuitema lebel hiyo kubwa US (YMCMB)
Lil Wayne alisema pia sababu kubwa ya Dreake na Nick minaj kuicha lebel hiyo ni unyonyaji/ubadhilifu wa pesa kutoka kwa Birdman Ambae ni C.E.O wa lebel hiyo
Kwa habari nyingi nyingine endelea kubaki hapa hapa hutapitwa na chochote ,mshirikishe na mwenzio kutembelea hapa kila siku
....Ahsante....