Jeralean Talley, ambaye ni raia wa Marekani ambaye amesheherekea siku yake ya kuzaliwa mwezi mmoja uliopita.
Talley, amefariki akiwa nyumbani alipokuwa akiishi na dada yake Detroit.
Dada yake mwenye umri wa miaka 77 alisema kuwa Talley, alikuwa mtu mwema na atakumbukwa kwa mazuri yake.
Jeralean Talley,tangu alipokuwa na miaka 104 alikuwa akiupenda mchezo wa Bowling.
Talley,alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kujaa kwa maji mapafuni ambapo alipelekwa hospitali na baadae kuruhusiwa na mauti kumkuta akiwa nyumbani.