Aliewahi kuwa mke halali wa mkali /msanii kutoka Marekani Nick canon baada ya kuvunjika kwa ndoa Yao Mariah Carey sasa inasemekena anatoka kimapenzi na billionare James Packer
James ambae kwa mujibu wa jarida la forbs nchini marekani ana utajiri wa doller billion $4.5 ,James ambae ni mmiliki wa hotel kubwa za kitalii na ma casino walionekana ijumaa hii June 19 kwenye moja kati ya hotel zake nchini italia
James ambae pia ni wanne kwa utajiri duniani walionekana wakiwa wameshikana mikono na Mariah Carey (45) huku wakipigana na mabusu kimahaba zaidi