Maafisa wa polisi hawakutoa taarifa zaidi kuhusiana na tukio hilo,wakati uchunguzi kuhusu shambulio hilo unaendelea.
Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi hayo mara kwa mara ambapo imeweka wasiwasi kwa raia nchini China, ikiwa ni pamoja na mashambulizi katika kituo cha mafunzo mwezi Machi 2014 yaliyoua watu 31 katika mji wa Kunming.
Maafisa wa polisi wamedai kuwa makundi ya wanaotaka kugawa nchi ya China wamehusika na shambulizi hilo kutoka mji wa Xinjiang.