Header ads

Header ads
» » Meneja wa diamond avunja ukimya kwa managment ya alikiba

Meneja wa diamond (Salaam SK ) ambae ndo anaesimamia kazi zote za diamond plutnumz ameamua kusema yake kuhusu kuibiwa kwa kazi za diamond

Salaam ameyasema hayo kwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa instagram akiwa na maana si Mara moja kufanyiwa hivyo

Hichi ndicho alichokiandika meneja salaam

"@salaam_sk  -  @iTunes the company below as #Rockstar4000 who act as they have license to sell the songs of my artist @diamondplatnumz on @iTunes they are THIEVES. They don't have any contract or any relationship with us this is Unacceptable to let companies sell contents of the Artists without any agreement both sides. PLEASE REPOST
Wizi kwa Wasanii wetu HAUKUBALIKI. Naomba hii Kampuni ya Rockstar4000 iachane na Wizi wake wa kuuza kazi za @diamondplatnumz hatuna makubaliano yoyote na kampuni yako kuuza Nyimbo za @diamondplatnumz Tutakutana Mahakamani. Uvumilivu umetushinda."

Kwa habari nyingi nyingine endelea kubaki hapa hapa lakini pia mshirikishe na mwenzio azipate hizi .....Ahsante.....

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post