
Mbunge wa Singida Mjini (CCM) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mohamed Enterprises ambaye ni mwanachama na shabiki Mkubwa wa Simba SC,Mohammed Dewji,ndiye kinara wa Utajiri Nchini

Jarida la Uchumi la Forbes,mapema wiki hii limemtaja Dewji 40,kwa mara ya Nyingine kuwa na Utajiri namba moja Tanizania akiwa na Utajiri wa Dola Bilioni 1.25
Kupitia kampuniyake ya MeTL,Dewji amewahi kuidhamini Simba na Kuisaidia kupata mafanikio makubwa mwaka 2003 ilipofanikiwa kuing'oa Zamalek ya Misri kwenye Klabu Bingwa tena kwa Kuivua Ubingwa wakati huo ikiwa ndiye timu bora Afrika