Header ads

Header ads
» » kupanda kwa bei ya vyakula kupelekea mfumuko wa bei nchini Tanzania



Takwimu za ofisi zimesema kuwa kupanda kwa bei ya vyakula Tanzania imepelekea kupanda kwa mfumuko wa bei kwa asilimia 5.3 mwezi Mei kutoka asilimia 4.5 mwezi April ambapo ni kinyume na lengo la serikali wanalotegemea kwa asilimia 5 kwa mwezi Juni nchini Tanzania.
Chakula ni moja ya maswala muhimu katika taifa la Afrika mashariki miongoni mwa bidhaa zinazotumika kuangalia kupanda na kushuka kwa mfumuko wa bei.
Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Ephraim Kwesigabo, amesema kuwa kupanda kwa bei kumesababishwa na kupanda kwa bei za bidhaa za vyakula.
Aliongeza kusema kuwa "bidhaa hizo za vyakula vinajumuisha unga wa maindi, samaki wabichi, ndizi za kupika, na viazi mbatata. "
Vyakula na vinywaji visivyokuwa na alkoholi vimepanda kwa asilimia 8.5 mwezi Mei kutoka asilimia 7.1 mwezi April.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post