Header ads

Header ads
» » » Hii Mpya Kutoka kwa Jose Chameleone, Anunua Nyasi kwa Ajili ya Nyumba yake kwa dola $20000.

 
Jose Chamelion amenunua nyasi za kupanda nyumbani kwake dola elfu ishirini.Nyasi hizo alinunua kwa njia ya mtandao kutoka barani Asia,Zoysia ni jina la nyasi hizo.Nyasi hizo ni gharama kutokana zikinyauka wakati wa ukame nakumwagiliwa maji hurudia hali yake ya kawaida.Zinaitaji uangalizi muda wote na hukua udongo wowote.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post