Jina la mradi huo ambalo lina maana ya filimbi ya njano, linaashiria onyo na ilani dhidi ya unyanyasaji na kutokanana hali tete.
Lengo la mradi huo ni kukusanya pesa ambazo yatapewa mashirika yasiokuwa ya kiserikali ambayo husaidia watu waliohama makazi yao kutokana na mashambulizi ya wanamgambo wa Boko Haram.