Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi
cha usalama cha MONUSCO huko Congo, wameuawa
hapo jana baada kushambuliwa na watu wenye silaha huko Kivu ya
Mashariki.
Katika shambulizi hilo, wanajeshi 13 wamejeruhiwa na waasi hao huku wanajeshi wanne wakiwa hawajulikani walipo.
Msemaji
wa MONUSCO, Felix Basse amevieleza vyombo vya habari kuwa
shambulizi hilo la kushtukiza limefanywa na waasi hao ikiwa ni
siku moja kupita baada ya jeshi la Congo kuwau waasi 16 wa
ADF