Muda
si mrefu huyu kaka kajirusha toka ghorofa ya 9 concord hotel kariakoo
akaangukia kwenye hiyo taxi chanzo hata hakijulikani kapatwa na nini,
ni mfanya biashara anaitwa Shirima kakimbizwa hosp.HUYU NDO KIJANA ALIYEJITUPA TOKA GOROFA YA 9 KARIAKO DSM, CHEKI PICHA HAPA
Muda
si mrefu huyu kaka kajirusha toka ghorofa ya 9 concord hotel kariakoo
akaangukia kwenye hiyo taxi chanzo hata hakijulikani kapatwa na nini,
ni mfanya biashara anaitwa Shirima kakimbizwa hosp.