Home
»
MATUKIO
» EXCLUSIVE: HII NI BARUA YA WAZI ILIYOANDIKWA KWA DIAMOND IKIMPONDA KWA MABAYA ANAYOYAFANYA. ISOME HAPA
kaka yetu NDIKU ambaye anafanya kazi ngumu ya kukabana na wakina NSAJIGWA NFUSO uwanjani ili apate chochte cha kulisha family yake lakini wew bila huruma una ramba asali yake... ivi unajua mtoto wa uwoya "krish" atakopukua njiani kwenda shule wenzie watakua daily wakimuambia " mtoto wa kambo wa DOMO huyo' ivi dear diamond mbna unataka mama yako asipewe heshma sababu ya wew hujui ka unamfanya awe despsd infrnt of da pple... najua hujaelewa coz elimu kwako ni tatizo utampigia wema akufafanulie ila usi mrecord coz anakusaidia ww.... au umea athirika unafanya kusambaza.. hawa wanawake wapo toka enzi za ma dinossaurs,,, mwambie penny akuambie maANA ya dinossaurs.. huu mda unaoangaika na wanawake ungejiendeleza ata kielimu iyo 4m four itakufksha wap.. na wew mama diamond ivi huoni anachofanya mwanao unashindwa kumshauli au unataka uje kumwambia akishaanza kuharisha na kumvisha visepe.. ERIC SHIGONGO naomba ukiiona hii itupie kwenye ijumaa wikienda ili babu yangu wa ileje Ambaye hatumiii fb asome mana kila siku amekua akiipenda nyimbo ya mbagala bila kujua uovu wa aliyeimba kwa leo yatosha ila TACAIDS naamini itakutemblea diamond siku si nyingi kkupa matumizi saHII YA arv
Topics: MATUKIO
Imehaririwa na;- poatel Africa
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Kukua na Kuongezeka kwa teknolojia , Kumerahisisha mambo na kuongezeka kwa idadi kubwa ya watu wenye ufahamu duniani hivyo basi hata elim...
-
Kampuni ya teknolojia ya Huawei inaishtaki Samsung kuhusu madai kwamba haki zake zimekiukwa. Kampuni hiyo ya China imesema kuwa inais...
-
Hapa naongelea zile program zisizotakiwa ambazo zinachukua mamlaka katika vivinjari kama vile Google Chrome na Mozila firefox na ku...
-
Kampuni ya Google imetambulika kuwa bidhaa yenye thamani zaidi kwa mujibu wa shirika la fedha la linalojihusisha na ukaguzi wa thamani ya...
-
Serikali ya Uingereza imetangaza mpango wa kujenga kiwanda cha kuzalisha umeme kwa upepo baharini ambacho kitakuwa kikubwa zaidi dun...
-
Shirika la Apple la nchini Marekani baada ya kuipata ruhsa kutoka katika idara ya nishati nchini humo (FERC ) sasa tayari kuwekeza kat...
-
Kijana wa miaka 10 aliyegundua mbinu ya kufuta maandishi Instagram azawadiwa dola 10,000 na FacebookMvulana mmoja kwa jina la Jani mwenye umri wa miaka 10 azawadiwa dola 10,000 na kampuni ya mtandao wa Facebook kwa kugundua jambo ka...
-
Serikali inatarajia kuajiri Fundi Sanifu wa Maabara ya Shule Daraja la II. Ajira hii ni kwa Fundi Sanifu wa Maabara ya Shule walio...
-
Habari yako msomaji wa TeknoTaarifa tuendelee kuhabarishana na kujuzana kuhusu haya maujanja huku kwenye ulimwengu wa teknolojia leo...
Data Boosta

