Header ads

Header ads
» » Nchi 11 za Afrika zazindua eneo moja la kupata mtandao



Raia katika nchi 11 za Afrika sasa wataweza kupiga na kupokea simu kwa malipo ya chini baada ya kutekelezwa kwa kushughuli ya kuunda eneo la mtandao mmoja.
Uamuzi wa kuzindua eneo moja la mtandao ulipitishwa katika mkutano wa ngazi za juu wa wakurugenzi wadhibiti wa ICT ulioitishwa na Smart Africa.

Nchi zilizoshirikiana katika uzinduzi hu wa mtandao mmoja ni Ivory Coast, Gabon, Kenya, Mali, Uganda, Senegal, Sudan Kusini, Chad, Rwanda na Burkina Faso.
Mbali na kuzindua mtandao mmoja kati ya nchi hizo 11,masuala kuhusiana na ada ya kupiga na kupokea simu yalijadiliwa huku .
Huduma za mtandao huo mmoja unatarajiwa kuanza mwezi Mei.

Chanzo: allAfrica.com

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post