Header ads

Header ads
» » » Lionel Messi ateuliwa kuwa Balozi wa kimataifa wa Kampuni ya kutengeneza simu ya Huawei


Mchezaji bora duniani wa soka Lionel Messi, ameteuliwa kuwa balozi wa kimataifa wa kuwakilisha kampuni ya Huawei.
Msimamizi mkuu wa Huawei tawi la Ulaya ya Magharibi Walter Ji, alitoa maelezo na kuarifu kumchagua Messi kuwa balozi wao kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuhamasisha ulimwengu.
Kulingana na maelezo ya Huawei, Messi anaonekana kuwiana na sera za kampuni hiyo kuanzia historia yake hadi kufikia hatua ya kupata mafanikio makubwa.
Huawei ilisisitiza umuhimu wa kutumia wachezaji a ili kufanikisha malengo yake, na kukumbushia kwamba mwaka jana iliwahi kuwekeza kwa wachezaji kama Robert Lewandowski na Alexis Sanchez.

CHANZO: phoneworld.com.
MHARIRI: Abdallahmagana.com

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post