Header ads

Header ads
» » Kampuni ya BMW imetangaza kuweka rekodi ya mapato ya biashara kwa mwaka 2015.

Kampuni ya magari ya BMW kutoka Ujerumani imetangaza kuweka rekodi mpya ya mapato ya biashara katika kipindi cha mwaka 2015.
Kulingana na ripoti iliyotolewa na BMW, inaarifiwa kwamba kampuni hiyo imeweza kuongeza mapato yake kwa asilimia 14.6 ambayo ni sawa na fedha Euro bilioni 92.18.
Mauzo ya BMW yameongezeka kwa asilimia 5.9 ambayo ni sawa na Euro bilioni 9.22.
Mafanikio hayo yameweza kufikiwa baada ya BMW kutekeleza mauzo ya magari 2,247,485 mwaka jana hasa katika soko la China, Marekani, Ujerumani na Uingereza.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post