Header ads

Header ads
» » India yapiga marufuku picha za 'Selfie'

selfie-mumbai.jpg
Wakazi wa jiji la Mumbai nchini India wapigwa marufuku kupiga picha aina ya Selfie hasa maeneo ya kitalii ili kuepuka ajali.
Kwa mujibu ya taarifa ni kuwa polisi watashika doria maeneo ya Marine Drive na pwani ya Chowpatty beach yanayoaminika kuwa maeneo ya kitalii hatari zaidi na kuzuia watu kupiga picha ya selfie.
Uamuzi huo watolewa baada ya wasichana watatu kuanguka baharini walipokuwa wakichukuwa picha ya selfie siku ya Jumamosi.
Wasichana hao wameripotiwa kufariki huku miili miwili tu kupatikana mwili wa msichana wa tatu bado unaendelea kutafutwa.

SOURCE: Independent.co.uk 


>>Lengo langu ni kuakikisha upitwi na Habari za Teknolojia ungana Nami FACEBOOK , TWITTER na INSTAGRAM

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post